S.L.P 1219, Musoma - Tanzania
Simu +255 28 2620920/2620255 , +255 784 582 786/555: taarifa@juasun.net      [ In English ]
  ->Juasun > Huduma

Miradi
Faharasa
Tovuti nyingine
Tuma Maoni

Kwa njia ya Mawimbi

Upatikanaji
Kwa wakati huu huduma hii inapatikana maeneo ya Musoma Mjini,Bunda Mjini, Wilaya ya Pangani mkoani Tanga na Makao makuu ya Wilaya zilizo nje ya Miji ambako kampuni ya simu TTCL inahudumia.

Vifaa vinavyohitajika
Ili kuunganishwa na mtandao wa mawimbi, kompyuta yako itaunganishwa na kifaa cha redio na antenna, ambavyo vyote vitatolewa na Juasun.Net.

Gharama
Malipo ya awali yatapangwa kutegemea muda wa hitaji kama vile:-
(a)Mambomba kwa ajili ya kufunga antenna.
(b)Waya aina ya UTP/STP kiasi cha Tsh 1,200/= kwa mita.
(c)Waya kwa ajili ya kinga ya radi itategemea urefu wa bomba.
(d)Ardhi fimbo (Earth rod) 2 kila moja Tsh 3,500/=.
(e)Vifaa vya ujenzi wa msingi pamoja na saruji Tsh 15,000/=.
(f)Clips pakiti moja Tsh 3,500/=.
(g)Waya kwa ajili ya kuimarisha nguzo ya bomba Tsh 3,500/=.
(h)Gharama za kuunganishwa Tsh 30,000/= kwa kila Kompyuta.

Malipo ya kila mwezi ni Tsh. 54,000/= kwa kila kompyuta na Tsh 24,000/= kama gharama za kukodi Antenna/CPE.
Mteja mpya lazima awe na UPS kwa ajili ya kulinda vifaa kwa tatizo la umeme.


Kwa njia ya Simu

Upatikanaji: Ni rahisi iwapo tu mteja ana huduma nzuri ya simu ya mezani (TTCL)
Vifaa vinavyohitajika
Utahitaji kuwa na kifaa kiitwacho modem ambacho wataalamu wetu watakiandaa ili kiweze kufanya kazi na mitambo ya Juasun.Net.

Gharama
Gharama za kuunganishwa ni Tsh.25,000/= (malipo yake hufanyika mara moja tu)

Gharama kwa mwezi ni Tsh.26,000/=


NYUZI NYUZI

Upatikanaji
Kwa wakati huu huduma hii hupatikana Wilaya za Bunda na Serengeti, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Maendeleo Vijijini (ICT4RD) majaribio.

MuhimuIwapo umevutiwa na huduma zetu au unahitaji maelezo zaidi waweza kuwasiliana nasi kwa anuani zilizoko hapo juu






Copyright © 2010 Juasun.Net, All Rights Reserved.