![]() |
![]() |
![]() |
S.L.P 1219, Musoma - Tanzania Simu +255 28 2620920/2620255 , +255 784 582 786/555: taarifa@juasun.net [ In English ] |
![]() |
![]() |
|
Miradi Kwa sasa Juasun.Net inajihusisha na miradi ifuatayo: JuaLinux - Kuifanya kuwa ya Linux Hadhi: Kupanga,unalo wazo? bofya kisanduku cha maoni JuaFirefox - Kuifanya kuwa browser maarufu. Hadhi: Kutafsiri en-US.jar kwenda sw-TZ.jar Bindi: Tunapenda kusambaza kwa wasaidizi/watu wa kujitolea, kama kuna mawazo yoyote kuhusiana? Tafadhali bofya kisanduku cha maoni :) JuaAmsn - Kuifanya kuwa kiwakilishi cha MSN. Hadhi: Mgaotabaki muhimu ziko tayari katika lugha ya kiswahili. Bado tunafanyia kazi maneno mapya na mambo mengine muhimu kama Maswali Ulizwa Mara kwa mara, msaada n.k. Bindi: Msaada unahitajika katika tafsiri, pamoja na Amsn ni rahisi kusambazia watu wa kujitolea kufanya kazi. Pata nakala ya Amsn kusaidia katika jaribio na tafsiri na kwa kweli kufurahisha! Angalizo Miradi hii iko wazi kwa jamii, na hakika kuwepo kwake kunategemea zaidi michango ya watakaojitolea kusaidia.. Karibuni nyote! |