nyumbanikuhusu sisiHudumaPichaTuwasiliane
 
Thursday, November 16, 2006 15:42
kwa kiingereza    

 

HABARI

Kichwa cha habari 00/00/000
Habari motomoto kuhusu matukio yanayoendelea
Juasun
>> zaidi...

Kichwa cha habari 00/00/000
Habari motomoto kuhusu matukio yanayoendelea
Juasun
>> zaidi...

Tuma maoni
Simu za VoIP kwa matuizi ya Intaneti
Huduma ya VoIP (Voice over Internet Protocol) Juasun.net

VoIP ni nini?
VoIP- Hii ni huduma inayomuwezesha mtumiaji wa kinakilishi kwa njia ya mtandao (Internet)kuwasiliana na mtumiaji mwingine kwa kutumia mawimbi ya sauti (kufanya mazungumzo) kama mazungumzo kwa njia ya simu.

Huduma ya VoIP hutumikaje?
Huduma hii huunganishwa na mtandao wa internet moja kwa moja na kumfanya mtumiaji aweze kupiga simu bure. Hii inafanya urahisi kwa mtumiaji kufanya kazi ya ofisi akiwa nje ya ofisi, nyumbani au mahali popote iwapo tu huduma hii ya VoIP inapatikana.

Huduma hii hutolewa na kampuni ya mawasiliano kwa njia ya kinakilishi, Juasun.net kwa wanachama wake wote na pia mtu yeyote anayependa kujiunga na huduma hii kwa gharama ambazo mtumiaji anaweza kuzimudu.

Njia zinazoweza kutumiwa na wanachama wa VoIP katika kuwasiliana ni;
ATA (Analog Telephone Adapter) – Hiki ni kifaa kinachounganisha simu ya    mezani kwenye kinakilishi ilikuwezesha huduma hii ya VoIP.
Simu za IP – Hizi ni simu zinazotumia namba za IP badala ya namba za   simu za kawaida hivyo ni maalum kwa ajili ya huduma hii.
Kinakilishi kwa kinakilishi – Huduma hii pia ni rahisi zaidi kutumia kwa   kupitia kinakilishi kimoja kwenda kingine pale mtumiaji unapounganishwa   na huduma hii.

Faida za VoIP:
Unapounganishwa na huduma ya VoIP na kampuni ya Juasun.net unaweza kufanya vitu vifuatavyo;
• Kupiga simu popote duniani kwa gharama ambazo mwanachama anaweza kuzimudu.
• Kutumia kinakilishi chako hali ya kuwa unaongea na simu.
• Kupiga simu ya mkononi, mezani,simu za mbali,za kitaifa na kimataifa.
• Kwa wanachama wenye simu za VoIP, huweza kutumia simu hizo kama simu zingine.
Ukitaka kujiunga na huduma ya Voip wasiliana nasi kwa barua pepe >>

Copyright © 2006 Juasun.net. All rights reserved.