Thursday, November 16, 2006 15:54
kwa kiingereza    

 

HABARI

Kichwa cha habari 00/00/000
Habari motomoto kuhusu matukio yanayoendelea Juasun
>> zaidi...

Kichwa cha habari 00/00/000
Habari motomoto kuhusu matukio yanayoendelea Juasun
>> zaidi...

Tuma maoni
Faharasa
Huduma ya mtandao wa intanet kwa simu.
Huduma inayotumika sana kwa kuunganishwa na intaneti kwa njia ya simu.
Ni huduma rahisi kama endapo utaitumia kwa kupokea na kutuma barua pepe tu. Gharama zake ni rahisi, na inapatikana kwa masaa 24
Kwa kuunganishwa Gonga hapa >>

 

 

Huduma kwa Mawimbi
Huduma hii inapatikana kwa maeneo ua Musoma mjini na Pangani Tanga.
Hii ni rahisi zaidi kwa kuwa unaweza kutumia muda wowote masaa 24 na kwa gharama nafuu zaidi.

Kwa kuunganishwa Gonga hapa >>

 

 

VoIP (Sauti kwa protokali za mtandao)
Huduma hii mpya imeanzishwa kurahisisha matumizi ya simu kwa mtandao wa intaneti kwa gharama nafuu kabisa za usakinishaji.

 

 

 

Huduma za barua pepe.
Tunatoa huduma ya barua pepe kwa wateja wetu bure. Unaweza kuwa na akaunti ya barua pepe kwa kiishilizi @juasun.net. Faida ya huduma hii hutopata barua pepe zenye virusi vya kompyuta. Unaweza kupokea na kutuma barua pepe kwa kutumia Mozilla Mail, Mozila Thunderbird na pia MIcrosoft Outlook.
Kwa kujiunga Gonga hapa >>

 
 
 
 
Copyright © 2006 Juasun.net. All rights reserved.