Mawasiliano
ya Mtandao kupitia njia ya Simu.
-Upatikanaji wa huduma hii: Inapatikana pale tu unapokuwa na simu
inayofanya kazi. Vifaa
vinavyohitajika
Utahitaji kuwa na kifaa kiitwacho modem ambacho wataalamu wetu watakiandaa
ili kiweze kufanya kazi na mitambo ya Juasun.net.
Gharama
Gharama za kuunganishwa ni Tsh.25,000/= (malipo yake hufanyika mara
moja tu)
(a) Tumia mtandao bila
mipaka:
Watu binafsi:
-Gharama kwa mwezi ni Tsh.25,000/=
Idara za
Serikali na Taasisi zisizo za Kiserikali:
Gharama kwa mwezi ni Tsh. 30,000/=
Makampuni:
Gharama kwa mwezi ni Tsh. 35,000/=
(b) Tumia Barua pepe pekee:
Watu binafsi:
-Gharama kwa mwezi ni Tsh.22,000/=
Idara za
Serikali na Taasisi zisizo za Kiserikali:
Gharama kwa mwezi ni Tsh.25,000/=
Makampuni:
Gharama kwa mwezi ni Tsh. 30,000/=
Kwa njia ya Mawimbi:
Upatikanaji
Kwa wakati huu huduma hii inapatikana maeneo ya Musoma Mjini na
Wilaya ya Pangani-Tanga, hata hivyo tunakusudia kupanua wigo kwenda
sehemu nyinginezo.
Vifaa
vinavyohitajika:
Ili kuunganishwa na mtandao wa Mawimbi, Kompyuta yako itaunganishwa
na kifaa cha Redio na Antenna, ambavyo vyote vitatolewa na Juasun.net.
Gharama
Malipo ya awali yatapangwa kutegemea muda wa hitaji.
a) Kuunganishwa kwa Kompyuta
moja ni dolla 600 za Kimarekani.
b) Kuunganishwa kwa Kompyuta mbili au tatu,unatakiwa kutanguliza
dolla 700 za Kimarekani.
c) Kuunganishwa kwa Kompyuta nne na zaidi,unatakiwa kutanguliza
dolla 1000 za Kimarekani.
Gharama
za kila mwezi ni:
Shilingi za Kitanzania 45,000/= kwa kila kompyuta.
Shilingi za Kitanzania 20,000/= Kodi ya Vifaa.
Mwanachama mpya atatakiwa kununua UPS kwa ajili ya usalama wa vifaa
vitakavyounganishwa kwenye umeme.
Kumbuka
Taarifa hii hupatikana pia kwa ajili ya kupiga chapa/kuchapishwa
kutoka:-
--> faili ya pdf 
--> faili ya doc  |