|
Yelp
ni programu katika JuaBarua inayokuwezesha kutuma malalamiko au
matumizi mabaya ya barua pepe
Mwanachama
ni mtu yeyote ambaye amejiunga na Mtandao wa Juasun.net kwa kupitia
njia ya Simu au Mawimbi
Mawimbi
ni muunganisho katika mtandao wa Juasun.net kwa kupitia Mawimbi
ya Radio.
Kwa
Simu ni muunganisho katikia mtandao wa Juasun.net kwa kupitia
njia ya Simu.
MODEM
ni kifaa cha electroniki ambacho kinatumika kuunganisha Kompyuta
katika mtandao kwa kutumia njia ya simu
Kadi
ya Mtandao ni kadi ya electroniki ambayo inatumika kuunganisha
kompyuta katika mtandao.
JuaBarua
ni huduma ya barua pepe inayotolewa na Juasun.net katika tovuti
yake.
Barua-taka
ni barua pepe ambazo hazima maana, mara nyingi kutoka kwa watu usio
wafahamu |